News & Updates

EXLUSIVE PHOTOS OF MAUNDA ZORRO!!!...........18+















Picha: Bill Gates na familia yake wapo likizo kwenye boti (yacht) waliyokodi kwa tshs bilioni 8 kwa wiki!!



article-2719109-2057AB6700000578-788_634x422.
article-2719109-2057BE7A00000578-683_634x422

article-2719109-20578E4800000578-901_634x366

article-2719109-20578E4400000578-635_634x423

article-2719109-2053BB8300000578-962_634x497
article-2719109-2053BBC000000578-614_634x539

article-2719109-2053BC0200000578-210_634x514

WADADA HEBU ANGALIENI HIZI PICHA KISHA NIAMBIENI MMEGUNDUA NINI????


Is that Photoshop or that's really all him? The actor pictured above working on set of his new film A Hundred Streets, on a street in London yesterday. Is he wearing a prop or that's his junk? #Lawdhavemercy! See another pic after the cut...



DJ Khaled, Chris Brown, Future, Jeremih, August Alsina wote ndani ya video moja…icheki hapa.


Siku moja tu baada ya kutoa audio ya Hold u down, Dj Khaleed ametoa video ya wimbo huo ambayo ndani yake yupo na wasanii wote aliowashirikisha kama Chris Brown,Future,Jeremih na August Alsina.

Video imetoka August 11, 2014 na hii ni nafasi yako kuicheki

PICTURES: Rihanna hot photos in the social media


Rihanna ametokea kwenye cover la W Magazine akiwa na mavazi ya kiasili ya watu wanaoishi porini na nyingine akiwa na mavazi ya watu wanaoishi sehemu zenye baridi.

Magazine hiyo imemtambulisha Rihanna kama “world’s wildest style icon”. Kwenye hii photoshoot alifanya pamoja na models maarufu kama Naomi Campbell,Iman na Balmain.













PICTURES: WEMA AND DIAMOND ON GOOD TIME IN MWANZA CITY!!!


Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli.





Rihanna anahisi Drake na Chris Brown bado wana harufu ya maziwa ya mama zao, na Eminem ndiye mwanaume halisi.

Rihanna, 26, yupo kwenye ziara ya pamoja na Eminem, 41, Monster na kwa mujibu waHollywoodLife.com, Riri anapenda kupanda jukwaani na Eminem na anadai kuwa ni muda mrefu tangu atumbuize na ‘mshindi wa kweli’.

Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoongea na mtandao huo, ziara na Eminem inampa Rihanna maisha kwakuwa rapper huyo ni mtu mzima na muelewa. Chanzo hicho kimesema kuwa Rihanna Drake na Chris wana wivu kwasababu hawawezi kuwa naye.

Hivi karibuni Drake alidaiwa kumdiss Rihanna kwa kumfananisha na shetani.