Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii mkubwa wa bongo movie, Irene Uwoya ametupia picha mtandaoni akiwa hana nguo ya juu kiasi cha kutafsiriwa vibaya na mashabiki wake kwamba ameanza kujiuza....
Uwoya
alijipiga picha hiyo na kuitupia mtandaoni
akiwa ameandika ujumbe wa kuwananga
watu waliompa ushauri wa kutorudia kitendo
hicho kwa kuwa yeye ni mke wa mtu....
"Unajua
dada wewe ni mke wa mtu usifanye
hivyo, wewe ndo ulinifungisha ndoa? Mbona mnakimbelembele
wabongo! Please Mind your Business....." aliandika
Uwoya.
Tabia ya
baadhi ya mastaa kutuma picha zao za
uchi mtandaoni bila kujali nafasi zao
kwa jamii imechukua nafasi kubwa hivi sasa,
hali inayolalamikiwa kukiuka maadili ya
mtanzania.
0 comments:
Post a Comment