WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA








WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu.


0 comments:

Post a Comment