Nicki Minaj ametuonjesha kipande cha video ya Anaconda, icheki hapa.


anaconda
Baada ya ku-make headline na cover kali la wimbo wa Anaconda na kuteka attention ya watu wakisubili kununua. Wimbo huo ukavuja kwenye internet na watu kuupata bure na kabla ya muda uliopangwa.
Hivi sasa Nicki Minaj anakaribia kutoa video ya Anaconda lakini leo ametupa kionjo cha video hiyo. Hii ni nafasi yako kukiangalia.

<< PLAY>>

0 comments:

Post a Comment